Friday, 29 March 2013

STORY KAMILI KUHUSU MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM(UDSM) ALIYIJINYONGA.

Mwanafunzi wa kiume wa mwaka wa pili sheria mwenye umri kati ya 22 mpaka 25 amejinyonga march 25 2013 pembeni ya madarasa chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo saa nne asubuhi mwili wake ndio ulikutwa ukiwa unaning’inia kwenye mti, kwenye barua aliyoacha ameandika asilaumiwe mtu.Inasikitisha sana.


1 comment:

MAONI YAKO NI MUHIMU SANA